Tag: trending videos
Karibu theluthi moja ya Watanzania hukopa
Nchini Tanzania, karibu theluthi moja (asilimia 31.8) ya kaya zinachukua mkopo kwa ajili ya mahitaji ya kujikimu ikiwemo chakula na malazi.
Kwa mu [...]
Nafasi za kazi 320 TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza nafasi 320 za kazi kwa vijana wa Kitanzania wenye umri usiozidi miaka 30.
Nafasi hiz [...]
Vipipi vyapigwa marufuku Zanzibar
Mamlaka ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku bidhaa aina ya Lump Sugar maarufu ‘Vipipi utamu’ vinavyodaiwa kutumiwa na baadhi ya wanaw [...]
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo
Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoeleza kuwa i [...]
Mita 111 za maji zajazwa Bwawa la Nyerere
Serikali imesema hadi jana asubuhi, mita za maji 111 juu ya usawa wa bahari zilikuwa zimejazwa katika mradi wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme kwa m [...]
Fahamu kuhusu asali
Wengi wetu tumezoea asali kwa matumizi ya kula lakini kama ulikua hujui pia ni tiba ya ngozi pamoja na kuzui chunusi.
Kutokana na uwezo wa asali ku [...]
Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali
Serikali imechukua usimamizi wa Hospitali ya Dar Group na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuwa Hospitali hiyo sasa itasimamiwa na Taasisi ya Mo [...]
Maana ya video ya Simba ya Fei Toto
Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama "Fei Toto" ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia to [...]
Fei toto na Simba Instagram
View this post on Instagram
A post shared by Feisal Salum Abdal [...]