Tag: trending videos
Dar tayari kuikabili Ebola
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na timu ya dharura ya kukabili maambukizi ya magonjwa ya mlipuko katika Mkoa wa Dar es Salaam ili kuona utayrai [...]
Sababu ya maduka ya Game kufungwa
Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imetangaza kuwa Disemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania.
[...]
Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika
Mratibu Kiongozi Kimataifa wa Ubia wa Utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Bw. Ted Chaiban ameipongeza Tanzania na nchini nyingine Barani Afrika pamoja na wad [...]
Korea yaipa Tanzania mkopo nafuu Sh bil. 310
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa mkopo wa gharama nafuu wa sh bilioni 310 kwa Tanzania kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vita [...]
Wenye visima ruksa kusambaza maji
Wakati Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikitoa ratiba ya mgao wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea eneo la mat [...]
Yanga yamtambulisha mwingine
Klabu ya Yanga imemtangaza Abdullazez Kipanduka kama ongezeko jipya kwenye timu yao ya Maudhui chini ya kitengo cha Habari.
Abdul ambaye alikuw [...]
Ombi la watumishi la miaka 5 lajibiwa na Rais Samia
July 13,2017 akiwa Waziri wa Utumishi wa Umma, Mhe. Angela Kairuki alisema hatima ya kulipwa mafao kwa watumishi waliokutwa na vyeti feki serikali ita [...]
Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kasi ya utengenezwaji wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzan [...]
Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic
Serikali imeifungia Shule ya Awali an Sekondari ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana kwa mujibu wa kifungu cha 4 ( [...]
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]