Tag: trending videos
Karani aporwa kishkwambi Katavi
Karani wa Sensa Kata ya Majimoto, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Kenan Kasekwa, amevamiwa usiku wa kuamkia leo na kuporwa kishikwamb [...]
Askari aliyempiga virungu kijana achukuliwa hatua
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyessha kijana mmoja aliyefungwa pingu na kupigwa virungu [...]
Mtoto wa Simbachawene kupanda kizimbani kesho
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linatarajia kumfikisha mahakamani kesho mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bun [...]
Mwigulu kusomesha watoto wa diwani aliyekufa ajalini
Mbunge wa Singida Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba ameahidi kulipa ada za masomo ya watoto wa aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu Tarafa ya Kinampanda wilay [...]
Wahadzabe wapewa Nyumbu 20, wakubali kuhesabiwa
Jamii ya Wahadzabe iliyopo katika eneo la Yaeda Chini jana wamekabidhiwa kitoweo cha nyama pori aina ya Nyumbu na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro N [...]
Huduma za MOI kupatikana Mtwara
Huduma za kibingwa za Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), zitaanza kutolewa katika hospitali mpya ya kisasa ya Rufaa Kanda Mtwara, ikiwa ni ute [...]
Mrema kuzikwa Alhamisi Agosti 25,2022 Moshi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP,Agustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoani Kilimanjaro.
Maziko [...]
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa
Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
[...]
Sensa kutoa majibu vifo vya wajawazito
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kuwa sensa ya mwaka huu inakwenda kutoa majibu ya ukubwa wa tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wa changa.
[...]
Odinga awasilisha pingamizi kieletroniki
Timu ya wanasheria wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari imewasilisha nakala ya kielektroniki ya ombi la kupinga ushindi wa Rais Mteule Willi [...]