Tag: trending videos
Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara
Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baa [...]
Amuua mkewe kisa elfu kumi
Jeshi la polisi mkoani Manyara linamshikilia Petro Basso (38) mkazi wa Gabadaw wilayani Babati mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware [...]
67.2% ya wakazi wa Dar wana uzito uliopitiliza
Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha kwamba asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe [...]
Nafasi za kazi TOA
Katibu Mkuu wa TOA anatangaza nafasi ya kazi ya Afisa Miradi, atakayefanya kazi na Taasisi ya TOA ya mkoani Dodoma.
[...]
Bashungwa ashtukia upigaji wa fedha Kilosa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI) Innocent Bashungwa ameagiza uchunguzi wa haraka wa madai ya ubadhilifu w [...]
23.3% kufafanuliwa kesho
Serikali imesema Jumanne Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhus [...]
Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyat [...]
Uganda wavutiwa na Tanzania
Wabunge wa Uganda waliokuja kutembelea miundombinu ya nishati nchini wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Maendeleo ya Nishati na Mdibi, Dkt. Peter Lokeris [...]
Rais Samia akemea uharibifu wa miundombinu
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya barabara ikiwemo kuchimba mchanga kwa sababu vitendo hivyo vi [...]
Ujumbe wa Rayvanny kwa Rais Samia Suluhu
Msanii na mmiliki wa lebo ya muziki ya Next Level, Rayvanny, kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa instagram ameweka ujembe kuhusu Rais Samia Sulu [...]