Tag: trending videos
Fahamu mambo anayotakiwa kujua karani wa sensa
Karani wa sensa atatakiwa kuuliza idadi ya watu wote waliolala katika kaya husika usiku wa kuamkia siku ya sensa. Atauliza majina ya watu wote waliola [...]
Maoni ya ACT Wazalendo kuhusu utendaji kazi wa Kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS).
Baada ya wadau wa sekta za biashara na usafirishaji kuiomba serikali kutoiongezea mkataba mpya kampuni ya TICTS eneo la bandari ya Dar es Salaam kwa k [...]
IGP Wambura aanza kazi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilus Wambura amewataka wananchi wa jiji la Arusha kuendelea kutunza amani iliyopo na kutokujiingiza kwenye viten [...]
Bi. Sonia afariki
Muigizaji wa filamu, Farida Sabu maarufu Bi Sonia amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki [...]
Manara afungiwa miaka 2
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia Msemaji wa Yanga Sc, Haji S. Manara kujihusisha na Soka ndani [...]
Wasifu wa Kingai
Ramadhani Kingai ameteuliwa kuwa DCI na Rais Samia Suluhu Hassan, Jumanne usiku, Julai 19,2022 akichukua nafasi ya Camilius Wamabura ambaye ameteuliwa [...]
Rais Samia na ukombozi wa mwanamke kupitia nishati safi ya kupikia
Juni 8,2021, katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan alionyesha wazi imani yake kubwa kwa wanawake na nia [...]
Uteuzi Ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
[...]
Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkataba
Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji [...]
Alikua anajaribu kupita magari 8
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana [...]