Tag: trending videos
Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa
Idadi ya watalii walioingia Tanzania imeongezeka kwa asilimia 25.7 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huku nchi za Amerika na Ufaransa zikiingiza idadi [...]
Rais Samia kutunukiwa shahada ya heshima kwa kukuza uhusiano kati ya Tanzania na India
Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru leo kinamtuku Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, shahada ya heshima. Rais yupo kwenye ziara ya siku nne nchini Ind [...]
Tanzania na India kusaini mikataba mipya 15 ya ushirikiano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anajiandaa kwa ziara ya kihistoria ya kiserikali nchini India kuanzia Oktoba 8 hadi 11, [...]
Matukio ya wavamiaji katika mgodi wa Barrick North Mara
Tarehe 21 Septemba mwaka huu kulitokea tukio ambapo wavamiaji takribani 100 kwa njia isiyo halali walivamia eneo la mgodi wakati wa mvua kubwa.
Mak [...]
Rais Samia hajavunja katiba kumwongezea Prof. Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu
Na Faustine Kapama-Mahakama
Uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kumuongezea muda Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania hauvunji Kat [...]
Rais Samia: Wawekezaji mali zenu zipo salama
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikisha wawekezaji wa ndani na nje ya nchi usalama wa mali zao na hivyo wasisite kuja kuwekeza Tanzania.
Amesema ha [...]
Rais Samia azindua kiwanda cha nne kwa ukubwa Afrika
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuzalisha vioo kilichopo katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kinachotarajiwa kutoa ajira [...]
Rais Samia: mbaazi ni zao la biashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesimama kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Nanguruwe Mkoani Mtwara leo September 16,2023 ambapo amewataka Wakazi wa Mikoa y [...]
Wananchi wa Newala wampa Rais Samia maua yake
Baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Newala wamepongeza na kumshukuru Mhe: Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kufungua mipaka ya kuingia na kutoka nchi [...]
Yanayoendelea kwenye mikutano ya hadhara si dhamira ya kuruhusiwa kufanyika
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kukasilishwa na mwenendo wa mikutano ya hadhara miezi kadhaa tangu airuhusu tena tangu ya kuwa imefungiwa baada ya [...]