Tag: trending videos
Warithi wa kina Mdee
Leo jijini Dar es Salaam, Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaketi kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yahusuyo chama h [...]
Mishahara mipya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa ikiyaandaa kw [...]
Magazeti ya leo Mei 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Mei 11,2022.
[...]
Wimbo wa taifa kufanyiwa marekebisho
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yakubu Said, Mei 10, 2022 Dodoma amekutana na wataalamu wa Ala za Muziki wakiongozwa na M [...]
Harmonize kuonyesha ujuzi peke yake
Harmonize ameweka wazi kwamba tamasha lake la Afro East analotarajia kufanya mwishoni mwa mwezi huu, Mei 29 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaa [...]
Rekodi mpya yavunjwa Bandari ya Dar
Ni mwezi mmoja umepita tangu Bandari ya Dar es Salaam kuvunja rekodi ya kupokea meli kubwa yenye magari 4,041, jana rekodi mpya imevunjwa baada ya mel [...]
Ndugai: Sijasema naacha siasa
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefafanua kauli aliyoitoa juzi ya kutangaza kutogombea ubunge uchaguzi mkuu 2 [...]
Rais Samia kukutana na Museveni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia tarehe 10 [...]
Magazeti ya leo Mei 10,2022.
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Mei 10,2022.
[...]
Bob Wine kuhudhuria Baraza Kuu CHADEMA
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, John Mrema amethibitisha ujio wa aliyekuwa mgombea w [...]