TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso 

HomeKitaifa

TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso 

Baada ya mtayarishaji wa video nchini Hanscana kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram changamoto anazopata pindi aendapo kufanya kazi zake kwenye vivutio vya kitalii nchini.

Tozo yawaliza Hanscana, Lavalava na Mbosso

Taarifa hiyo ilionyesha kungwa mkono na baadhi ya wasanii kama Lavalava na Mbosso nao wakieleza kuwa wanatozwa kiasi kikubwa cha fedha na kuona mamlaka husika kuchukulia hatua suala hilo.

Kilio chao kimewafikia Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ambao waliwajibu kwakuwaomba wawasiliane nao hili waweze kuweka sawa suala hili.

error: Content is protected !!