Tanzia: Kipanya afiwa na baba yake

HomeKitaifa

Tanzia: Kipanya afiwa na baba yake

Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast Masoud Kipanya ,amefiwa na baba yake mzazi Mzee Masoud Nyomwa. Msiba uko Mwananyamala na mazishi yanatarajiwa kuwa leo saa kumi jioni.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Masoud Kipanya (@masoudkipanya)

error: Content is protected !!