Waziri Mkuu akagua Hospitali ya Rufaa Mkoa wa KataviJengo la Hospitali ya Rufaa ya Mokka wa Katavi ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake Agosti 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

HomeKitaifa

Waziri Mkuu akagua Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo eneo la Rungwa, Mpanda, Agosti 27, 2021. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.  Godwin Mollel.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi  katika eneo Rungwa Mpanda, Agosti 27, 2021. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi  eneo la Rungwa, Mpanda, Agosti 27, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko na kulia ni Mshauri Mwelekezi wa Mradi kutoka kampuni ya  Cristal  Contractors, Linda Kasilima.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi   katika eneo la Rungwa, Mpanda, Agosti 27, 2021. Wa pili kulia ni Mshauri Mwelekezi wa Mradi kutoka kampuni ya  Cristal  Contractors, Linda Kasilima.

error: Content is protected !!