Author: William Dennis
Machinga wadaiwa kuvamia Kanisa
Kanisa la Orthodox, Jimbo la Dar es Salaam, limedai kwamba wafanyabiashara ndogo (machinga) wamevamia eneo la Kanisa lao lilipo mtaa wa Salasala katik [...]
Usithubutu kufanya mambo haya 5 ‘wikiendi’ hii.
Tangu wiki inapoanza, akili za wanadamu wengi huwaza zaidi mwisho wa wiki ili waweze kupumzika na kupata wasaa mzuri wa kufurahi na ndugu, jamaa na ma [...]
Nchi 10 zenye hazina kubwa zaidi mafuta duniani
Mafuta ni bidhaa muhimu duniani inayotumika katika kuzalisha nishati viwandani, kwenye vyombo vya usafiri na sehemu nyingine zenye mitambo mbalimbali. [...]
Sababu zinazoweza kufanya msichana akubali kuwa nyumba ndogo
Kuwa nyumba ndogo (side chick) ni kitendo cha msichana au mwanamke kukubali kuwa katika mahusiano na mwanaume ambaye ana m [...]
Sehemu 10 zinazoshikilia rekodi ya joto kali zaidi duniani
Ni kweli hivi sasa Dar es Salaam jua linawaka sana, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeshalitolea maelezo jambo hilo na kusema jua limesogea ka [...]
Fahamu tuzo 5 maarufu zaidi duniani
Dunia ina tuzo za kila aina zinazotolewa kwa watu wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali.
Zipo tuzo nyingi zinazofahamika sana duniani, zifuata [...]
Ugonjwa usiojulikana waibuka nchini Congo
Ugonjwa usiojulikana, umezuka Katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) huku ukiwaathiri watoto.
Imeelezwa kwamba karibu watoto 7,000 wako katika [...]
Jifunze mambo 10 ya kipekee kuhusu nchi aliyozuru Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan yuko nchini Misri kwa ziara ya siku tatu iliyoanza leo (Novemba 10,2021).
Tumekuwekea mambo kumi ya kipekee unayoweza kuji [...]
Huduma kwa wateja TANESCO kutolewa kidigitali
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limegeukia fursa kuboresha ufanisi kwa kutumia digitali, baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Tech Mahindra kwa [...]
Wanaume: Mambo 7 ya kuzingatia kabla ya ‘kuzama DM’
'Kuzama' au 'Kuslide DM' ni lugha iliyozoeleka mtandaoni. Hicho ni kitendo kutuma ujumbe moja kwa moja kwa mtu kwenye mi [...]