Author: William Dennis
Fahamu zaidi kuhusu mkutano atakaohutubia Rais Samia Marekani
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini na kwenda Marekani kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kidiplomasia kubwa ikiwa ni mkutano wa Baraza Kuu la [...]
January Makamba aanza na TANESCO
Waziri wa wa Nishati, January Makamba (MB) amefanya ziara fupi kwenye kituo cha udhibiti wa mfumo wa usafirishaji umeme (GCC) kilichopo Ubungo jijini [...]
Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani
Inaaminika kwamba dunia nzima ina watu zaidi ya bilioni 7. Idadi ya watu hupatikana kupitia sensa zinazofanywa na Serikali ya nchi husika au zinazofan [...]
Utofauti wa sensa ya 2022 na sensa zilizopita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema sensa ya mwaka 2022 itakuwa tofauti na sensa zilizopita, hususan kwa namna itakav [...]
Usiyoyajua kuhusu Dkt Ashatu Kijaji, Waziri mpya wa habari
Dkt Ashatu Kijaji ameapishwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Tumekuwekea baadhi ya taarifa zinazohusu safari ya Dkt. Kijaj [...]
Mfahamu Dkt Tax, mwanamke wa kwanza kuwa Waziri wa ulinzi Tanzania.
Historia mpya imeandikwa leo nchini Tanzania ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania imepata Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye ni mwanamke. [...]
Ifahamu ‘CV’ ya January Makamba
January Yusuph Makamba alizaliwa tarehe 28, Januari, 1974, akiwa mtoto wa kwanza wa Mzee Yusuf Makamba na mkewe Josephine.
Alipata elimu ya msingi [...]
Wafahamu mawaziri 7 wanawake Tanzania
Leo Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Dkt. Ashatu Kijaji na Dkt. Stergomena Tax kuwa mawaziri. Uapisho huo unaifanya Tanzania kuwa na jumla ya mawa [...]
Rais Samia: Mabadiliko serikalini yanaendelea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kufanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali ndani ya serikali yake.
[...]
Mufti wa Zanzibar kuongezewa hadhi
Baraza la Wawakilishi la Zanzibar limepitisha sheria mpya ya kuanzisha ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar. Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt Mwinyi Talib [...]