Author: Asmah Sirikwa
Uokoaji waendelea Mto Mori, 7 wapatikana
Wananchi kwa kushirikiana na wataalam wa maji wanaendelea na zoezi la kutafuta miili ya watu waliozama katika Mto Mori uliokuwa ukifurika jumamosi, ma [...]
Lugha gongano shuleni ipatiwe ufumbuzi
Wabunge wa Tanzania wameeleza maeneo mbalimbali yanayohitaji maboresho kwenye sekta ya elimu nchini ikiwemo lugha itumikayo kufundishia elimu ya msing [...]
Bashungwa: “Nakupa miezi mitatu”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amempa miezi mitatu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musom [...]
Unakipenda kifo zaidi ya unavyodhani
"Enjoy! Maisha ni mafupi" kamsemo wanachoambiwa vijana wengi bila kujua ukubwa wake na namna unavyoweza kugharimu maisha yao.
Utasikia Jamilla anas [...]
Waziri Mkuu: Bei zitashuka
Katika kikao kilichofanyika usiku wa kuamkia leo Mei 5, Dar es Salaam, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia za kupun [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 5, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Aingizwa mochwari akiwa hai
Mzee mmoja raia wa China aokolewa na mhudumu wa mochwari baada ya kupelekwa kwenye chumba hicho cha kuhifadhia maiti akiwa hai.
Baada ya kupokea mf [...]
Huduma za Twitter kulipiwa
Bilionea Elon Musk ambaye ndiyo mmiliki wa mtandao wa Twitter ameshikilia msimamo wake wa kuleta mabadiliko kwenye mtandao huo ikiwemo kulipia huduma [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 4, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
IGP atuma salamu kwa wezi wa pikipiki
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka wezi wa pikipiki wilayani Arumeru mkoani Arusha kuacha mara moja tabia na kuwa hawatofurahia [...]