Author: Asmah Sirikwa
Njia za kukuza nywele na kuzuia kukatika
Matunzo ya nywele yanahitaji kuwa na moyo na uthabiti katika kuhakikisha zipo kwenye hali nzuri mara zote lakini pia kutafuta muda wa kuzifanyia matun [...]
Kajala achorewa tattoo
Shabiki mmoja wa mwanamuziki Harmonize ameamua kuingilia kati jitihada za mwanamuziki huyo za kurudiana na 'ex' wake Kajala Masanja.
Shabiki huyo a [...]
Nchi 5 zenye joto zaidi
Ukiishi Dar es Salaam jua ni kali sana kiasi kwamba unaweza kudhani Tanzania nzima ina joto la aina hiyo na pengine Tanzania ni kati ya nchi zenye j [...]
Vitabu 10 vya kukuza akili
Kama ilivyo kwa mtu kwenda gym au kukimbia ili kuimarisha misuli ya mwili, ndivyo ilivyo kwa mtu kusom vitabu, kufumbua mafumbo au mazoezi mengine ya [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 23, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Mtanzania ‘Geay’ aweka rekodi Boston Marathon
Mwanariadha Gabriel Geay, anayeiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya mbio kitaifa ameshika nafasi ya nne katika mbio za Boston Marathon ziliz [...]
Aliyemchinja mtoto auawa
Mzee mmoja mkazi wa Siha, Kilimanjaro amepigwa hadi kufa na wananchi wenye hasira kali baada ya kubainika kumchinjwa mtoto wa miaka miwili kijiji cha [...]
Idadi ya waliokufa maji yafikia 443
Watu 443 wamefariki dunia kufuatia mafuriko na mmomonyoko wa ardhi KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini huku wengine 63 wakiendelea kutafutwa wasioneka [...]
Rais wa Burundi ajitwika msalaba
Ijumaa Kuu ni siku ya kukumbuka mateso ya Yesu na makanisa mbalimbali kuigiza mateso ya Yesu kama njia ya kufundisha waumini kuhusu alivyojitoa Yesu k [...]
Rais Samia kuhudhuria Uzinduzi wa ‘Tanzania Royal Tour’
Baada ya kushirika katika uandaaji wa filamu ya kutangaza utalii wa ndani maarufu kama ‘Tanzania Royal Tour’ iliyoandaliwa na Mtozi kutona Marekani, P [...]