Author: Asmah Sirikwa

1 5 6 7 8 9 11 70 / 102 POSTS
Takukuru yamkalia kooni Raibu

Takukuru yamkalia kooni Raibu

Taasisi ya Kupigana na Kupambana na Rushwa, (Takukuru) imesema imepokea malalamiko yamhusiyo aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini, Juma Raibu na [...]
Eric ten Hag kuinoa Man U

Eric ten Hag kuinoa Man U

Klabu ya mpira ya Uingereza, Manchester United imefikia makubaliano na Erik ten Hag kuwa meneja wao wa kudumu mapema leo Aprili 13, 2022. Makubalian [...]
Ukiandika barua hivi, kazi nje nje

Ukiandika barua hivi, kazi nje nje

Kati ya vitu vinavyosababisha wengi kukosa kazi ni barua mbaya ya utangulizi na wengine huandika hadi waraka wa Petro kwa mwajiri wakidhani kuwa ndio [...]
Meya wa Moshi avuliwa uongozi

Meya wa Moshi avuliwa uongozi

Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi amevuliwa cheo hicho na Bazara la Madiwani M [...]
Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO

Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO

Malkia wa Uingereza, Elizabeth II ameelezea aliyopitia alipougua Uviko-19 kwa njia ya mtandao wakati wa Uzinduzi wa "Queen Elizabeth Unit" katika Hosp [...]
Jinsi ya kupunguza kitambi ndani ya siku 3

Jinsi ya kupunguza kitambi ndani ya siku 3

Kitambi ni moja ya tatizo linalowakwaza wengi na kuharibu muonekano wa mtu pale anapovaa nguo za aina fulani na wengi hutafuta namna ya kuondoa kitamb [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 11, 2022

Viwango vya kubadili fedha Aprili 11, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Kamwe usimwambie mwanaume wako haya

Kamwe usimwambie mwanaume wako haya

Kuna vitu vingi vinavyoweza kuua mahusiano yako na pengine unajiuliza mara kwa mara ni wapi nimekosea bila kujua namna unavyoongea na mpenzi wako inac [...]
PISHI: Jinsi ya kupika vipopoo vya Iftar

PISHI: Jinsi ya kupika vipopoo vya Iftar

Katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani ambapo Waislam hufunga kwa sala, sadaka na kujinyima pia, ni kipindi ambacho huendana na aina fulani ya chakula [...]
Jada: Sikutaka kuolewa na Will

Jada: Sikutaka kuolewa na Will

Baada ya Will Smith kufungiwa kushiriki Tuzo za Oscars kwa miaka kumi kwa kuonekana kuchukulia 'serious' utani wa mchekeshaji Chris Rock kuhusu mke wa [...]
1 5 6 7 8 9 11 70 / 102 POSTS
error: Content is protected !!