Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Septemba 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 5,2022.
[...]
Mikoa inayoongoza kwa matumizi ya simu Tanzania
Kama ulikuwa hujui mikoa inayoongoza kwa watumiaji wengi wa simu za mkononi, basi Dar es Salaam inashika namba moja katika orodha ya mikoa 10 yenye wa [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Magazeti ya leo Septemba 2,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 2,2022.
[...]
Ufafanuzi kuhusu tozo
Hatimaye baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi kuhusiana na tozo za miamala ya simu zilizoanza kutozwa na Serikali Julai Mosi mwaka huu, Serikali [...]
Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya
Ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha, Qatar ikiwa [...]
Magazeti ya leo Septemba 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 1,2022.
[...]
Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta
Bei za mafuta zimeendelea kupaa katika soko la dunia na Tanzania, jambo lililosababisha gharama za maisha kuongezeka kwa kasi.
Hii imewafanya baadhi [...]