Author: Cynthia Chacha
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Magazeti ya leo Septemba 2,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 2,2022.
[...]
Ufafanuzi kuhusu tozo
Hatimaye baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi kuhusiana na tozo za miamala ya simu zilizoanza kutozwa na Serikali Julai Mosi mwaka huu, Serikali [...]
Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya
Ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha, Qatar ikiwa [...]
Magazeti ya leo Septemba 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 1,2022.
[...]
Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta
Bei za mafuta zimeendelea kupaa katika soko la dunia na Tanzania, jambo lililosababisha gharama za maisha kuongezeka kwa kasi.
Hii imewafanya baadhi [...]
Nandy ajifungua mtoto wa kike
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kujifungua mtoto wa kike.
Vi [...]
TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji
Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa vyombo vya Utangazaji nchini kuzingatia urushaji wa maudhui yenye kuz [...]