Author: Cynthia Chacha
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
Magazeti ya leo Agosti 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 22,2022.
[...]
Mrema afariki dunia
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21,2022 saa 12:15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya [...]
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]
Shabiki wa Yanga SC afariki
Uongozi wa Klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng.Hersi Said umesema umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya Mashabiki wa Yanga wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Agosti 20,2022.
[...]
Khaby wa Tiktok apewa rasmi uraia wa Italia
Mchekeshaji Khaby Lame, anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa TikTok duniani, amepewa uraia wa Italia katika hafla iliyofanyika katika m [...]
Rais Samia afanya uteuzi EWURA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maj [...]
AfDB yaipatia Tanzania mkopo wa bilioni 175.5 kwa ajili ya wakulima
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 75 (Sh. bilioni 175.5) kusaidia upatikanaj [...]
Magazeti ya leo Agosti 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Agosti 19,2022.
[...]