Author: Cynthia Chacha
Mama mzazi wa Don Jazzy afariki dunia
Mama mzazi wa Mwimbaji, Mtayarishaji na mmiliki wa lebo kubwa ya Muziki Barani Africa Mavin Records Michael Collins Ajereh maarufu kana Don Jazzy, ame [...]
Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyat [...]
Uganda wavutiwa na Tanzania
Wabunge wa Uganda waliokuja kutembelea miundombinu ya nishati nchini wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Maendeleo ya Nishati na Mdibi, Dkt. Peter Lokeris [...]
Msigwa: Serikali itatoa ufafanuzi
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali itatoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyotoka katika mishahara ya mwezi Julai, 2022 [...]
Tanesco yasitisha mfumo wa Nikonekt
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema linafanya maboresho ya mfumo wa Nikonekt kwa siku mbili leo na kesho.
Taarifa ya ofisi ya uhusiano Tan [...]
Magazeti ya leo Julai 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 23,2022.
[...]
TICTS yatajwa kuwa chanzo cha matatizo kwa wafanyabiashara bandari ya Dar
Kushindwa kujiendesha kwa ufanisi kwa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) kumesababisha msongamano wa makasha hayo bandari ya Dar es Sal [...]
Rais Samia akemea uharibifu wa miundombinu
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya barabara ikiwemo kuchimba mchanga kwa sababu vitendo hivyo vi [...]
Usichaji simu hadi asilimia 100
Huenda watumiaji wa simu za mkononi za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple wakaepuka gharama za kununua au kutengeneza betri za simu yao mara [...]
Ujumbe wa Rayvanny kwa Rais Samia Suluhu
Msanii na mmiliki wa lebo ya muziki ya Next Level, Rayvanny, kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa instagram ameweka ujembe kuhusu Rais Samia Sulu [...]