Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Julai 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 14,2022.
[...]
Watatu wafariki kwa ugonjwa usiofahamika
Wizara ya Afya imetangaza vifo vya watu watatu vilivyosababishwa na ugonjwa ambao bado haujafahamika ambavyo vimetokea katika Kituo cha Afya Mbekenyer [...]
Mkanda wa Nelson Mandela waibiwa
Polisi wa Afrika Kusini wameanzisha msako wa kuwasaka washukiwa walioiba mkanda wa ndondi uliotolewa kwa Nelson Mandela na bingwa wa Marekani Sugar Ra [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wadaiwa kodi ya ardhi
Serikali imetangaza masamaha wa kodi kwa wadaiwa sugu wa ardhi zikiwemo taasisi za dini na mashirika kulipa madeni yao bila riba katika kipindi cha mi [...]
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo
Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua.
Akizungumza na waandishi wa [...]
Mwongozo wa kuomba mikopo
Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo.
[...]
Bei ya umeme kwa uniti
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza Sh.1,600 kuwa bei mpya ya umeme kwa uniti, katika maeneo yanayopata huduma hiyo nje ya gridi, hasa umeme [...]
Watakaosoma Kiswahili kupewa kipaumbele mikopo
Huenda itakuwa tabasamu kwa wanafunzi wanaotarajia kusoma masomo ya lugha ikiwemo Kiswahili katika vyuo vikuu baada ya Serikali kutangaza kuyapa kipau [...]
Sababu ya matuta mengi ‘Kilwa Road’
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umesema matuta yaliyowekwa katika Barabara ya Kilwa mkoani Dar es Salaam siyo ya kudumu, bali yanalenga kupung [...]