Author: Cynthia Chacha
Mafuta ya kula yashuka bei
Waswahili wanasema baada ya dhiki faraja, hivyo ndivyo tunavyoweza kusema baada ya bei ya mafuta kuanza kushuka kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Bei [...]
Uamuzi wa ombi lao leo
Mahakama Kuu Masijala Kuu leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa ombi la Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 endapo wapewe kibali cha kufungua [...]
Atoa maagizo 7 ya kukuza na kueneza Kiswahili
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Philip Mpango ametoa maelekezo nane ya kukuza na kukibidhaisha kiswahili duniani.
Maelekezo [...]
Magazeti ya leo Julai 8,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 8,2022.
[...]
Kiswahili kufundishwa Afrika Kusini
Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini zimesaini mkataba wa Mashirikiano ya kufundisha lugha ya Kswahili katika ngazi Elimu ya Msingi nchini Afrika Kus [...]
Mume wa Nicki Minaj ahukumiwa
Mume wa Nicki Minaj amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nyumbani kwa kushindwa kujiandikisha kama mhalifu wa ngono.
Kenneth Petty alitakiwa kufahamis [...]
Kiswahili lugha ya biashara Afrika
Wakati nchi wanachama wa jumuiya hiyo wakikutana leo Zanzibar katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Af [...]
Serikali yataja mikakati ya kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili
Katika siku ya kuadhimisha lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi m [...]
Bei ya mafuta kushuka
Ingawa bei za mafuta zimeendelea kupanda hapa nchini, matumaini ya kushuka kwa bei za mafuta ghafi katika soko la dunia yameanza kuonekana.
Taariff [...]
Magazeti ya leo Julai 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 7,2022.
[...]