Author: Cynthia Chacha

1 142 143 144 145 146 237 1440 / 2363 POSTS
Magazeti ya leo Juni 29,2022

Magazeti ya leo Juni 29,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Juni 29,2022. [...]
Matunda ya Royal Tour

Matunda ya Royal Tour

Filamu ya Royal Tour pamoja na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi, zimefungua uchumi wa Tanzania kwa kuongeza uwekezaji kutoka Dola za Mare [...]
Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa wizi wa ndimu

Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa wizi wa ndimu

Mahakama ya Wilaya Mwera imemhukumu Ramadhan Gere Shija (20) mkazi wa Bungi kutumikia Chuo cha Mafunzo kwa muda wa mwaka mmoja na kulipa faini ya Sh5, [...]
Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa

Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao. Kukamatw [...]
Mapato ya uwindaji wa kitalii yaporomoka

Mapato ya uwindaji wa kitalii yaporomoka

Mapato yatokanayo na uwindaji wa kitalii unaofanyika katika mapori tengefu na mapori ya akiba Tanzania yameporomoka kwa Sh1.3 bilioni ndani ya mwaka m [...]
Serikali yapiga marufuku wagonjwa wa saratani kurudishwa nyumbani

Serikali yapiga marufuku wagonjwa wa saratani kurudishwa nyumbani

Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imetakiwa kutomrudisha mgonjwa yeyote wa Saratani nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na pesa za matibabu. Kauli hiyo [...]
Wadudu hawa hufanya mapenzi kwenye uso wako

Wadudu hawa hufanya mapenzi kwenye uso wako

Wadudu chini ya ngozi ya uso kama vile Demodex folliculorum hutumia maisha yao yote kuishi ndani kabisa ya uso wa mwanadamu. Usiku, viumbe hao huon [...]
Magazeti ya leo Juni 28,2022

Magazeti ya leo Juni 28,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 28,2022. [...]
Tanzania mwenyeji tuzo za MTV Africa 2023

Tanzania mwenyeji tuzo za MTV Africa 2023

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais na meneja mkuu wa Paramount Africa and [...]
1 142 143 144 145 146 237 1440 / 2363 POSTS
error: Content is protected !!