Author: Cynthia Chacha
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022
[...]
Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera
Katika kuhakikisha wakazi wanaohama kutoka Ngorongoro wanakuwa na maisha bora zaidi katika makazi mapya Msomera, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jam [...]
Rais Samia kumteua tena Mabeyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kwamba CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, anataria kupangiwa kazi nyi [...]
Maombi kwa mapacha
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lak [...]
Bweni la Bwiru Boys lateketea
Zaidi ya wanafunzi 70 katika shule ya wavulana ya Bwiru sekondari iliyopo manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada ya bweni kuteketea [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30
Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]
Magazeti ya leo Juni 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Juni 30,2022.
[...]
Mambo yazidi kupamba moto
Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi f [...]
Mkuu mpya wa Majeshi ateuliwa
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha Cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda Kuwa Jenerali na amemteua Kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi-CDF.
[...]
Mgeni rasmi siku ya Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yatakayofanyika kitaifa Julai 07, 2022 jijini Da [...]