Author: Cynthia Chacha

1 … 147 148 149 150 151 … 283 1490 / 2821 POSTS
Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu

Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu

 Wakati dunia leo akiadhimisha siku ya  Kimataifa ya Kusoma na Kuandika, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema [...]
Maelekezo ya CCM kwa Serikali

Maelekezo ya CCM kwa Serikali

Malalamiko ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki, Kamati  Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana [...]
Rais amfukuza kazi waziri mkuu akihofia kupinduliwa

Rais amfukuza kazi waziri mkuu akihofia kupinduliwa

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amemfuta kazi waziri mkuu na msaidizi wake mkuu katika msako mkubwa jana baada ya kuonya kuhusu njama za mapind [...]
Vituo 10 vya Afya Dar vimejengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu

Vituo 10 vya Afya Dar vimejengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya hususani Ujenzi wa Vit [...]
Moshi mweupe mradi wa LNG

Moshi mweupe mradi wa LNG

Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiy [...]
Tanzania kumpa ushirikiano Ruto

Tanzania kumpa ushirikiano Ruto

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ataendelea kufanya kazi na Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto, kudumisha uhusiano wa kihistoria na undugu baina [...]
Tanzania, Venezuela zasaini makubaliano ya kisiasa

Tanzania, Venezuela zasaini makubaliano ya kisiasa

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Venezuela zimesaini Hati za Makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kisiasa na mkataba wa ushirikiano katika nyanja m [...]
Ufafanuzi wa laki 8 ya kuunganisha umeme

Ufafanuzi wa laki 8 ya kuunganisha umeme

Wizara ya Nishati imesema gharama halisi ya kuunganisha huduma ya umeme katika nyumba kwa wakazi wa mijini na vijijini ni Sh800,000. Hata hivyo, kias [...]
Auawa baada ya kubaka mbuzi

Auawa baada ya kubaka mbuzi

Kijana mmoja kutoka Mtunzini huko KwaZulu-Natal, Afrika Kusini ameuawa kutokana na kichapo cha wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akibaka mbu [...]
Bei mpya za mafuta Septemba 2022

Bei mpya za mafuta Septemba 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. [...]
1 … 147 148 149 150 151 … 283 1490 / 2821 POSTS
error: Content is protected !!