Author: Cynthia Chacha
Sopu atua Azam FC
Kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Hamis Seleman "Sopu" amejiunga na matajiri wa Jiji Azam FC kwa mkataba wa miaka mitatu.
Sopu aliefanya [...]
LaLiga waipongeza Yanga SC
Yanga yafikia Next level msimu huu hadi kufikia hatua ya kuchapishwa kwenye ukurusa wa Laliga na kupewa pomgezi kwa ushindi wa Kombe la AFSC.
& [...]
Rais Samia atengua uteuzi bandarini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04 Julai,2022 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi [...]
Rais Samia: Siridhishwi na bandari
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haridhishwi na kasi za bandari nchini kutokana na siasa na longolongo zilizopo huku akiwataka watendaji wa bandari ku [...]
Rais wa Bara la Afrika
Katibu Mtendaji wa Eneo HUru la Biashara Afrika (AfFCTA), Wakele Mene amesema Watanzania wanapaswa kutambua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan si kiongozi [...]
Sh8 bilioni zatengwa kusomesha madaktari
Serikali imetenga Sh8 bilioni kwa ajili ya kusomesha madaktari na wataalamu ndani na nje ya nchi.
Imesema kati ya fedha hizo, Sh3 bilioni zitatumik [...]
Morrison arejea Yanga SC
Klabu ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC.
[...]
Magazeti ya leo Julai 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 4,2022.
[...]
Chanzo cha ajali ya basi Sikonge
Majeruhi 13 kati ya 48 wa ajali ya basi la Sasebosa iliyotokea wilayani Sikonge wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupatiwa matibabu na afya zao [...]
Yanga haina mpinzani
Baada ya vuta n’kuvute kwa dakika 120 kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Sheikh Abeid jijini Arusha hatimaye bingwa wa kombe la sh [...]