Author: Cynthia Chacha
Serikali kutumia tiktok
Mbunge wa Viti Maalum, Martha Gwau ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia mitandao ya kijamii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii huku a [...]
Nafasi za kazi Ubalozi wa Tanzania nchini India
Ubalozi wa Tanzania nchini India unatangaza nafasi za kazi kwa madereva.
[...]
Aomba talaka baada ya kunyimwa unyumba
Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Halis Mbwagolo (44) ambaye ni mkazi wa Dodoma, amemfikisha mahakamani mumewe Denis Nyoni (49) akidai talaka b [...]
Tahadhari: Wimbi la 5 Virusi vya Corona
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Watanzania wajikinge na ugonjwa wa Covid-19 kwa kuwa kuna dalili za kuingia kwa wimbi la tano la virusi vya cor [...]
Magazeti ya leo Juni 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 3,2022.
[...]
Makamba atoa sababu za kutokuwepo bungeni
Waziri wa Nishati January Makamba amelazimika kuomba radhi ndani ya Bunge kufuatia kusababisha bunge kusimama kwa dakika 30 asubuhi baada ya yeye na N [...]
Kim: Nipo tayari kula kinyesi nibaki kuwa kijana
Mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ameshangaza wengi baada ya kusema kwamba yupo tayari kula kinyesi kama kinaweza kumsaidia kuonekana kijana [...]
Shisha kufanyiwa uchunguzi
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa miezi miwili kufanyika tathmini ya madhara ya shisha kabla ya Serikali kuchukua uamuzi ya kuipiga marufuku na ku [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa Lissu yatimia
Rais Samia Suluhu Hassana amekamilisha ahadi yake ya kumsaidia Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kuweza ku [...]
Magazeti ya leo Juni 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Juni 2,2022.
[...]