Author: Cynthia Chacha
Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania
Ni siku chache tangu aanze kuonekana kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam na kwenye mitandao ya kijamii mchekeshaji kutoka Tanzania, Jackie maarufu k [...]
Air Tanzania: Ndege zipo salama
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa
Ikiwa ni siku mbili tangu kudukuliwa kwa akaunti ya Youtube ya msanii Diamond Platnmuz, leo Jumatatu Aprili 25,2022 akaunti hiyo imefutwa katika mtand [...]
Majizzo: Huyu ni mtu
Mmiliki wa kampuni binasfi ya E-FM Limited inayomiliki kituo cha televisheni cha TV E na Redio (E-FM), Francis Antony Ciza maarufu kama Majizzo amemki [...]
Ratiba mazishi ya Mwai Kibaki
Mwili wa aliyewahi kuwa Rais wa awamu ya tatu wa Kenya, Emilio Mwai Kibaki umewasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuagwa, leo mwili huo utaag [...]
Mrithi wa Rwakatare apatikana
Takribani miaka 2 tangu kifo cha Mwasisi wa Makanisa ya Mlima wa Moto Mikocheni ‘B’, Getrude Rwakatare na sasa nafasi hiyo inachukuliwa na Rose Mgetta [...]
UVCCM yawakingia kifua bodaboda
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosi amesema chama kinawaonya viongozi wanaosababisha usumbufu kwa madereva [...]
Magazeti ya leo Aprili 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 25,2022.
[...]
Anusurika kufa baada ya kuua
Mfanyakazi wa kuhudumia mifugo (jina limehifadhiwa) anadaiwa kumuua mfanyakazi mwenzake wa ndani, Dawiya Iddy kisha kunywa sumu kwa lengo kijiua, jari [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yadukuliwa
Msanii wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wanaofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki na mmiliki wa lebo ya Wasafi amba [...]