Author: Cynthia Chacha
Wakutwa na madawa ya kulevya gramu 70.77
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata maeneo ya Osunyai, Abdi Hamis (27) mfanyabiashara, mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na [...]
Harmonize: Rayvanny mwanangu
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize anazidi kuionyesha jamii na ulimwengu mzima kwamba bado anampenda aliyewa [...]
Njombe wamshukuru Rais Samia
Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Miongoni mwa shule zi [...]
Rose Ndauka: Naacha muziki na kuigiza
Msanii na Muigizaji kutoka nchini Tanzania, Naureen Mkongwa maarufu kwa jina la kisanaa Rose Ndauka, ametangaza kuachana na kazi zozote zinazojihusish [...]
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa
Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Taliban: Hakuna kazi bila ndevu
Wapiganaji wa Taliban wamewaagiza wafanyakazi wote wa serikali wa kiume kuwa na ndevu na kuzingatia kanuni ya mavazi ama wafutwe kazi
Shirika la ha [...]
Bashungwa apigwa spana na Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkag [...]
Taarifa kwa umma
Taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya milipuko na matukio yanayoathiri afya ya binadamu hapa nchini.
[...]
Mwenge wa Uhuru kuondoka na vigogo
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu , Patrobas Katambi amesema mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu zinatarajiwa [...]
100 wakabidhiwa nyumba Magomeni Kota
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kushirikiana na Kamati ya Wakazi wa Magomeni Kota, wameanza kukabidhi nyumba kwa watu 100 kati ya 644 wanaopaswa [...]