Author: Cynthia Chacha
Romy Jons aomba msamaha
Dj na kaka wa msanii Diamond Platnumz, Romy Jons amewaomba radhi mashabiki zake, marafiki , mashabiki , mke wake na Watanzania kwa ujumla kwa yale yan [...]
Ahadi ya Samia kwa Wananchi wa Chato
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Chato mkoani Geita kwamba miradi iliyopangwa itakamilishwa ikiwemo kivyuko cha Chato cha ‘Hapa Kazi Tu [...]
Brazen: Maneno yenye uhalisia
Filamu ya “Brazen” inamuhusu mwanamama Grace Miller ambaye ni nyota maarufu wa vitabu vya simulizi nchini Marekani. Simulizi zake zilizobeba visa vya [...]
Historia imeandikwa Kituo cha Afya Masasi
Kwa muda mrefu wananchi wa wilaya ya Masasi kata ya Chikundi wamekuwa wakiishi na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za afya katika maeneo ya k [...]
Mwaka Mmoja bila Magufuli
Leo Watanzannia wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Dk John Joseph Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021, hu [...]
Ajinyonga na waya
Abdul Kasuku (16) mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mpigimahoge amedaiwa kujinyonga kwa waya jana asubuhi katika shamba la mihog [...]
Rais Samia: Hii ndio Tanzania ninayoitaka
Rais Samia Suluhu Hassan anatimiza mwaka mmoja tangu achukue madaraka ya nchi, pamoja na maendeleo anayosimamia amebainisha mikakati yake muhimu na Ta [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 16,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 16,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=njxSViO [...]
LHRC yalaani mauaji kigoma
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio lililopelekea kifo cha Juma Ramadhani (35) kilichotokea tarehe 14, Machi 2022 katika uwanj [...]
Mike Tyson na Bangi za pipi
Mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani Mike Tyson amezindua aina mpya za bangi za pipi ambazo zipo kwenye umbo la sikio la binadamu alizozipa jina la 'M [...]