Author: Cynthia Chacha

1 221 222 223 224 225 264 2230 / 2634 POSTS
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa

Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa

Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Taliban: Hakuna kazi bila ndevu

Taliban: Hakuna kazi bila ndevu

Wapiganaji wa Taliban wamewaagiza wafanyakazi wote wa serikali wa kiume kuwa na ndevu na kuzingatia kanuni ya mavazi ama wafutwe kazi Shirika la ha [...]
Bashungwa apigwa spana na Samia

Bashungwa apigwa spana na Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkag [...]
Taarifa kwa umma

Taarifa kwa umma

Taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya milipuko na matukio yanayoathiri afya ya binadamu hapa nchini. [...]
Mwenge wa Uhuru kuondoka na vigogo

Mwenge wa Uhuru kuondoka na vigogo

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu , Patrobas Katambi amesema mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu zinatarajiwa [...]
100 wakabidhiwa nyumba Magomeni Kota

100 wakabidhiwa nyumba Magomeni Kota

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kushirikiana na Kamati ya Wakazi wa Magomeni Kota, wameanza kukabidhi nyumba kwa watu 100 kati ya 644 wanaopaswa [...]
Harmonize: Mke wangu arudi

Harmonize: Mke wangu arudi

Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize amefunguka wazi na kueleza kwamba ameachana na mchumba wake Briana mrembo [...]
Mabadiliko Jeshi la Polisi

Mabadiliko Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa. [...]
Neema kwa mafundi uwashi Mtwara

Neema kwa mafundi uwashi Mtwara

Ilizoeleka kwamba miradi inayotokea kwenye maeneo mbalimbali nchini tenda ilikuwa ikipewa kwa mafundi na wakandarasi kutoka nje lakini hali imekuwa to [...]
Will Smith aomba msamaha

Will Smith aomba msamaha

Muigizaji nyota kutoka nchini Marekani ameomba radhi kwa mashabiki zake na kwa mchekeshaji Chris Rock, kwa kitendo alichofanya cha kumpiga makofi mbel [...]
1 221 222 223 224 225 264 2230 / 2634 POSTS
error: Content is protected !!