Author: Cynthia Chacha
Hapatoshi Ruby na Saraphina
Mwanamuziki wa kike anaekuja kwa kasi katika tasnia ya Bongo Fleva anaejulikana kama Saraphina, amefunguka kuhusu msanii mwenzake Ruby kushindwa kuony [...]
Hekta 134 kutengwa kilimo cha bangi
Nchini Rwanda hekta 134 zimetengwa kwa ajili ya uzalishaji wa zao la bangi baada ya serikali kuanza kutangaza mipango ya kuanza kuzalisha na kusafiris [...]
Mange amkana mbea wake
Mmiliki wa MangeKimambi App, Mange Kimambi amesema msichana aliyekamatwa na mke wa msanii Roma Mkatoliki sio mfanyakazi wake na hivyo kinachoendelea n [...]
Jaden aungana baba yake
Mtoto wa Will Smith anayefahamika kwa jina la Jaden Smith, ameonyesha kuunga mkono kitendo alichofanya baba yake usiku wa Tuzo za Oscar, baada ya Will [...]
Alawiti na kubaka kisa chumvi
Jeshi la polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa [...]
Fahamu mambo haya 3 kabla hujamvisha pete
Kumvesha pete mwanamke unayempenda na kujua kwamba atakufaa katika safari yako ya maisha sio jambo baya bali kuna vitu unapaswa kuzingatia kabla ya ku [...]
Monalisa asimulia kilichomkuta Sonia
Msanii wa filamu, Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa ameeleza maisha yake yaliyokuwa baada ya binti yake, Sonia kukwama Ukraine kwa sababu ya vita v [...]
Diamond afanya kufuru
Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media na mwanamuziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amefanya kufuru kwenye sherehe ya har [...]
Marioo kuja na Davido
Msanii wa bongo fleva Marioo anayetamba na ngoma yake ya Mi Amore ametangaza kuachia remix ya wimbo huo pendwa akiwa amemshirikisha nyota kutoka nchi [...]
Kubenea apigwa spana kesi ya Makonda
Maombi ya mwanahabari Saed Kubenea ya kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda k [...]

