Author: Cynthia Chacha
Miwili bila JPM, Kazi inaendelea
Leo ni kumbukizi ya miaka miwili tangu afariki dunia Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.
Dk. Magufuli aliaga dunia Machi 17 [...]
Magazeti ya leo Machi 17,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 17,2023.
[...]
Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa Afrika wa chakula na kilimo
Huenda Afrika likaanza kujitosheleza kwa chakula siku zijazo baada ya wadau wa maendeleo na wataalam wa sekta ya kilimo kukutana Tanzania ili kujadili [...]
Magazeti ya leo Machi 16,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Machi 16,2023.
[...]
Rais Samia afikisha Daraja la JPM 74%
Miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan, daraja la JP Magufuli limefikia asilimia 74 ya ujenzi wake, ambapo mpaka sasa Sh bilioni 368.671 zimetolewa [...]
Maboresha katika Bandari ya Tanga yaanza kuleta matunda
Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza imepokea meli ambayo imebeba mzigo wa magari pamoja na shehena nyingine za mizigo kutoka nchini China.
Meli hiy [...]
Magazeti ya leo Machi 15,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 15,2023.
[...]
Magazeti ya leo Machi 14,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 14,2023.
[...]
Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawekeza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye vyuo vya ufundi na stadi mbal [...]
Magazeti ya leo Machi 11,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Machi 11,2023.
[...]