Author: Cynthia Chacha
Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR
Shirika la Reli la Tanzania- TRC limetoa ufafanuzi kuhusu mabahewa mapya ishirini na mbili (22) ya reli ya zamani yaliyonunuliwa na Serikali ya Jamhur [...]
Rais Samia asamehe wafungwa 1,631, 101 waachiwa
Rais Dkt Samia kwa ujumla wake ametoa msamaha kwa wafungwa 1,631, ambapo 1,530 kati yao watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baad [...]
Viumbe Ziwa Tanganyika wakadiriwa kupotea
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi (Muungano na mazingira) nchini Tanzania Dr. Seleiman Jafo ametahadharisha upotevu wa viumbe washio katika ziwa [...]
Celine Dion hawezi kupona
Muimbaji nguli wa muziki wa sauti za pole pole katika aina za muziki za pop, chanson pamoja na Soft Rock, Celine Dion, anakabiliwa na ugonjwa usiweza [...]
Morocco yaandika historia
Timu ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea huko nchini Qatar baada ya kuifunga timu [...]
Barbara kujiuzulu Simba SC
CEO wa timu ya Simba SC, Barbara Gonzalez ameandika baarua ya kujiuzulu kwenye klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wak [...]
LATRA yazikataa nauli za SGR
Mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa ardhini nchini Tanzania (LATRA) yakanusha nauli zinazosambazwa mitandaoni zikitajwa kua ndio nauli zitakazotumika ka [...]
Miezi 20 ya Rais Samia madarakani
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inavyoitekeleza kauli ya Kazi Iendelee, ndani ya miezi 20 Rais Dkt. Samia Sulu [...]
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika
Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
Brazil ‘Out’ Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Brazil ambayo ndio timu inayoongozwa kwa ubora wa soka duniani kwa mujibu wa viwango vya Shirikisho la mpira duniani (FIFA), imeshind [...]