Author: Cynthia Chacha
Ajinyonga siku ya kwenda kutoa mahari
Dk Joseph Ngonyani anadaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka akiwa nyumbani kwake kitongoji cha Saghana na kuacha simanzi na vilio kwa ndugu na majirani.
[...]
Waziri Mkuu amsimamisha kazi mtumishi aliyekutwa na sare za jeshi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Kibiti, Goefrey Haule, kwa tuhuma za rushwa na kukutwa ame [...]
Magazeti ya leo Novemba 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumannee Novemba 29,2022.
[...]
Rais Samia azitaka Jumuiya CCM kuvunja makundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumuiya ya Wanawake UWT kuongeza Nguvu katika k [...]
Bilioni 7 kumaliza kero ya maji Ludewa
Serikali imetoa zaidi ya Sh.bilioni 7 kwa wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji kat [...]
Lissu: Rais hajafanya lolote katika madai yetu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi ujao kwa kile wanachodai kuwa mambo [...]
Nchi zinazoongoza kwa mfumuko wa bei za vyakula
Kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia, Zimbabwe ndiyo nchi inayoongoza kuwa na gharama kubwa ya chakula huku ikitajwa kuongezeka kwa asilimia 321 k [...]
Magazeti ya leo Novemba 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatatu Novemba 28,2022.
[...]
Rais Samia kufanya ziara Lindi
Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya kikazi mkoani Lindi ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kushiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duni [...]
Rais Samia : Tunzeni siri za serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watunza kumbukumbu na nyaraka nchini kuwa Serikali itawalinda kwa kutambua kada hiyo ni kitovu cha Serikali.
[...]