Author: Cynthia Chacha
Morrison alimwa faini
Winga wa Yanga, Bernard Morrison amelimwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda ambaye alikuw [...]
Wizara yalaani watalii wakiume kuvishana pete Zanzibar
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsi moja (wanaume) kuvalishana pete [...]
Ahadi ya Makamba yatimia Kigoma
Itakumbukwa wakati akiwasilisha Bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati Juni 2,mwaka 2022, Waziri wa Nishati, January Makamba alikitaja kipaumbe [...]
Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Inala, Ali Mkonongo kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu k [...]
Namba za simu za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs)
Kama Mtanzania ni vyema ukawa na namba za simu hizi za wakuu wa polisi wilaya (OCDs) ili uweze kupata huduma sahihi kwa haraka.
OCD CHAMWINO
65988 [...]
Tanzania yang’ara kuwa na usalama wa mtandao
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili katika kielezo cha usalama wa mtandao (GCI) kwa mawaka 2020, wka mujibu wa Shirika la Mawasiliano la Kimataifa (IT [...]
Magazeti ya leo Septemba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 22,2022.
[...]
Tanzania na Msumbiji mambo safi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wameshuhudia utiaj [...]
Zungu awashangaa wanaolalamika tozo za miamala ya simu
Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amewashangaa baadhi ya wananchi wanaolalamikia tozo za miamala ya simu na benki na kuachwa kuzungumzia fedha wanazokatwa [...]
Ashtakiwa kwa kununua Premio badala ya tani 60 za mahindi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata Castory Mapunda (42) anayetuhumiwa kutumia sehemu ya Sh milioni 41 alizopewa kwa ajili ya kununua mahindi t [...]