Author: Elibariki Kyaro
Mahakama yamwachia huru Rugemalira
Mahakama ya Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru James Rugemalira baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufut [...]
Mbinu 10 za kukusaidia kupata watoto mapacha
Tafiti zinaonesha kwamba uwezekano wa mwanamke mmoja kubeba mimba ya mapacha ni 3%, na kuna njia mbalimbali zinaweza kuongeza uwezekano huu mpaka asil [...]
Maofisa wa polisi kizimbani leo kesi ya Mbowe
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamis Septemba 16, 2021 itaendelea kupokea ushahidi wa jamhuri katika kesi ya uhuju [...]
Rais Samia: Tanzania imekomaa kidemokrasia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imekomaa na inaongozwa kwa kufuata misingi ya kidemokrasia.
Akizungumza na wanawake waliokusanyika kwenye [...]
Uonapo ishara hizi 4, badili tairi za gari yako
Maisha yetu yana mihangaiko sana, kiasi cha kukosa muda kutazama usalama wa mazingira yetu.
Ni nani hutazama tairi za gari lako kujua kama bado ni [...]
Manufaa 6 nchi inayopata kwa kufanya sensa.
Umuhimu wa sensa upo katika kutoa picha na mwelekeo wa jamii kwa wakati fulani katika mabadiliko mengi na endelevu, ambayo hayawezi kufafanuliwa kupit [...]
Filamu ya Rais Samia yaanza kuvutia watalii
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kurekodi kipindi cha kuhamasisha utalii wa Tanzania maarufu kama 'Royal Tour,' mawakala wa utalii zaidi [...]
Viongozi 13 ambao Rais Samia ‘amewatumbua’ tangu aingie madarakani
Huu ni mwezi wa sita wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani kama Rais wa Tanzania. Kwa kipindi chote kama Rais wa Tanzania amepanga na kupangua safu y [...]
Aliyefumiliwa nyuzi na daktari aeleza mkasa mzima
Zubeda Ngereza, mkazi wa Kijiji cha Kerenge tarafa ya Magoma wilayani Korogwe mkoani Tanga ameeleza jinsi tabibu Jackson Meli alivyomfumua nyuzi ali [...]
Matukio 10 makubwa zaidi ya kigaidi duniani
Katika kuadhimisha tukio la Septemba 11, 2001 lilitokea nchini Marekani miaka 20 iliyopita na kusababisha vifo takribani 3000, ni vyema tuka [...]