Author: Elibariki Kyaro
Tanzania inaweza kutengeneza chanjo ya UVIKO-19
Wataalamu wa udhibiti na ufuatiliaji wa magonjwa kupitia mbinu ya Epidemiolojia na maabara (TANFLEA) wamesema Tanzania ina uwezo wa kutengen [...]
Serikali kununua ndege 5 za mafunzo ya urubani
Serikali imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha.
Naibu Waziri wa Uj [...]
Mambo matano madogo yanayoweza kusambaratisha ndoa yako
1. Urafiki wa jinsia tofauti
Kama mwanandoa una tatizo linalokusibu, unapotafuta mtu wa kukushauri, hakikisha anakuwa labda kiongozi wa kir [...]
Zijue siri tano za kuwa tajiri
1. Malengo ya kusaidia wengine
"Kama unaanzisha biashara kwa malengo ya kuwa tajiri, hakika hutokua".. John D. Rockefeller. Facebook ilipoanzishwa na [...]
Taliban yaunda serikali ya mpito
Kikosi cha Taliban kimetangaza kuunda serikali ya mpito nchini Afghanistani ambapo wameweka bayana kuwa serikali hiyo itaongozwa na moja ya viongozi w [...]
Njia sahihi za kukuza biashara yako kupitia mtandao (Digital Marketing)
Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijitali hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali.
U [...]
Ukiona dalili hizi, ujue anachepuka
Pengine unaona vitu ambavyo wewe unadhani kuwa ni tabia za kawaida tu, na kwamba huhitaji kuwa na mashaka, jiulize tena, kwani pengine kuna jambo lina [...]
Fahamu sababu ya watu kupenda Bia na Kahawa licha ya uchungu wake
Utafiti unaonesha kwamba bia na kahawa ni vinywaji vinavyopendwa sana licha ya kuwa na ladha ya uchungu. Mapenzi juu ya vinjwaji hivyo hayamo kwenye l [...]
Kikundi kilichoundwa na diwani chadaiwa kupiga wananchi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza madai ya wananchi wa Kijiji cha Uchau, wilayani Moshi kuwa kumekuwa na ukiukwaji wa haki z [...]
Wafahamu Marais 5 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani
Matukio ya kuuawa kwa viongozi wa juu wa nchi duniani yamekuwa yakipingua kasi katika miongo ya hivi karibuni, lakini hata kwa uchache wake bado yanat [...]