Author: Elibariki Kyaro

1 14 15 16 17 18 160 / 171 POSTS
Serikali kuongeza mapato kupitia Facebook, Twitter na Google

Serikali kuongeza mapato kupitia Facebook, Twitter na Google

Hivi karibuni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba alisema kuwa Serikali ya Tanzania inatafuta namna ya kuyabana makampuni makubwa ya mita [...]
Vita kati ya Taliban na Pashnjir yanukia Afghanistan

Vita kati ya Taliban na Pashnjir yanukia Afghanistan

Taliban tayari wamejihakikishia rasmi taifa la Afghanistan liko chini yao hivyo mipango na kila kitu ndani ya taifa hilo itatokana na matwakwa yao. Wa [...]
Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

Vilabu 10 vya England vyenye jezi kali zaidi 2021/22

Timu za Ligi Kuu ya England tayari zimezindua jezi ambazo zitatumika kwa msimu wa mwaka 2021/22. Kila moja imezindua jezi ambazo zimebuniwa kwa kubeba [...]
Fanya haya kubana ulaji mafuta kwenye gari lako

Fanya haya kubana ulaji mafuta kwenye gari lako

Haya ni mambo 10 muhimu ya kuzingatia ili kupunguza/kubana matumizi ya mafuta kwenye gari yako. 1. Endesha tu pale kwenye tija Kuwa na sababu ya k [...]
Mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani

Mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani

Mazoezi kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani huhakikisha kuwa wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza kuwajenga kimw [...]
Uamuzi pingamizi la Mbowe kutolewa leo

Uamuzi pingamizi la Mbowe kutolewa leo

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo Septemba Mosi, 2021 wamefikishwa katika Makahama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhuju [...]
Mambo 10 muhimu ya kufanya asubuhi siku yako iwe nzuri

Mambo 10 muhimu ya kufanya asubuhi siku yako iwe nzuri

Asubuhi ni sehemu muhimu sana ya siku, kwani huamua ni namna gani siku yako itakavyokwenda. Umewahi kusikia watu wakisema, "ameniharibia asubuhi yangu [...]
Manara ampiga kijembe Mo, Morrison aingilia kati

Manara ampiga kijembe Mo, Morrison aingilia kati

Tangu aliyekuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara alipoondoka katika klabu hiyo kumekuwa na mfululizo wa matukio mbalimbali ambayo yalipamba moto zaidi [...]
Wasemayo wananchi sakata la Gwajima na Silaa

Wasemayo wananchi sakata la Gwajima na Silaa

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameadhibiwa na Bunge baada ya kukutwa na hatia ya kulidharau na kuhususha hadhi ya Bunge. Askofu Gwajima ameta [...]
Tumia mbinu hizi ili bando la intaneti lisiishe haraka kwenye simu yako

Tumia mbinu hizi ili bando la intaneti lisiishe haraka kwenye simu yako

Andiko hili fupi la kiteknolojia linakupa mbinu muhimu za kuhakikisha kwamba bando katika simu yako haliishi haraka ili uweze kufanya matumizi yako ya [...]
1 14 15 16 17 18 160 / 171 POSTS
error: Content is protected !!