Author: Elibariki Kyaro
Afariki baada ya kulipukiwa na bomu aliloliokota
Mtu mmoja mwenye asili ya Ujerumani amefariki dunia nchini Australia baada ya kulipukiwa na bomu ambalo aliliokota ziwani.
Mtu huyo mwenye umri wa [...]
Guardiola amwagia sifa Klopp
Klabu ya Liverpool inaongoza kwa pointi moja mbele ya klabu ya Manchester City ambapo miamba hiyo ya soka itakutana kwenye mchezo wa Ligi kuu England [...]
Taarifa ya serikali kuhusu kamati inayochunguza kupanda bei za mafuta
Kamati iliyoundwa kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta (petroli, dizeli na mafuta ya taa) imewasilisha ripoti yake kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
[...]
Leo katika Historia: Mahatma Gandhi alizaliwa
Tarehe kama ya leo mwaka 1869 alizaliwa Mahatma Gandhi, kiongozi wa harakati ya kupigania uhuru nchini India kutoka moja ya vijiji vya jimbo la Gujara [...]
Zifahamu faida za bamia kwa wanawake
Bamia ni moja ya zao lenye faida mwilini kama tunda mboga kwani linaweza kukutoa katika hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari kwa sababu ya uwezo wake [...]
BAKWATA yapoteza umiliki wa ekari 40
Mahakama Kuu Morogo Kitengo cha Ardhi imefulia mbali uamuzi wa Baraza la Ardhi na Makazi la Wilaya ya Kilombero uliotoa haki ya uamiliki wa ekari 40 z [...]
Wanakijiji wapiga mawe gari la Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ameagiza kukamatwa baadhi ya wanakijiji cha Engaroji kuwa kupiga mawe gari ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli.
Wanak [...]
Mbwa mwitu waiba begi la Shakira
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia, Shakira ambaye pia ni mke wa Gerald Pique, mchezaji wa FC Barcelona, ameleza jinsi alivyovamiwa na mbwa mwitu akiw [...]
Matukio makubwa 10 yaliyotikisa Septemba 2021 nchini Tanzania
Siku 30 za Septemba zimemalizika usiku wa kuamkoa leo. Katika saa 720 za mwezi huo, matukio mengi yametokea nchini kuanzia kwenye siasa, michezo hadi [...]
Maagizo manne ya Rais Samia kwa mashirika yasiyo ya kiserikali
Katika mkutano wa mashirika yasiyo ya kiserikali uliofanyika leo Dodoma ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria kama mgeni rasmi, ambapo pamoja na [...]