Author: Mjumbe

1 18 19 20 21 22 46 200 / 452 POSTS
Mitandao ya kijamii yazimwa Swaziland

Mitandao ya kijamii yazimwa Swaziland

Serikali ya jamii ya watu wa Swazi chini ya mfalme Mswati wa III imelalamikiwa kwa kuzima mtandao nchini humo ili kuzuia watumiaji wa mitandao ya kija [...]
Watu bilioni 3 wanakosa lishe bora duniani

Watu bilioni 3 wanakosa lishe bora duniani

Katika ujumbe wake wa siku ya leoa ambayo ni siku ya chakula duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema siku hii siyo tu [...]
Kauli ya RC Makalla siku 3 kabla ya zoezi la kuondoa machinga

Kauli ya RC Makalla siku 3 kabla ya zoezi la kuondoa machinga

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makalla amewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga kutumia vizuri siku tatu zilizosalia kuhamia kwenye [...]
Waziri Mkuu azuru eneo la mauaji ya Mbunge

Waziri Mkuu azuru eneo la mauaji ya Mbunge

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson leo Jumamosi amezuru eneo ambalo Mbunge wa Chama wa Wahafidhina, Sir. David Amess amechomwa kisu na kufariki s [...]
300 wakamatwa kwa kutotumia daraja la watembea kwa miguu

300 wakamatwa kwa kutotumia daraja la watembea kwa miguu

Watu zaidi ya 300 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya kwa kosa la kutotumia daraja la juu la watembea kwa miguu lililowekwa kwa ajili ya  kuvu [...]
Leo katika historia: Shirika la Chakula Duniani (FAO) liliasisiwa

Leo katika historia: Shirika la Chakula Duniani (FAO) liliasisiwa

Tarehe na mwezi kama wa leo (Oktoba 16) mwaka 1945, Shirika la chakula duniani (FAO) liliasisiwa. Shirika hilo ambalo hati ya kuasisiwa kwake lilipiti [...]
Maid – filamu itakayonogesha wikiendi yako

Maid – filamu itakayonogesha wikiendi yako

Baada ya kupata manyanyaso kutoka kwa mzazi mwenzie aliyekuwa akimtukatana, kumpiga na hata kumrushia vitu vya hatari kama chupa, Alex anashindwa kuvu [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 16 (Mbappe ngoma ngumu ndani ya PSG, huku City ikiwasha taa ya kijani kwa Lewandoski)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 16 (Mbappe ngoma ngumu ndani ya PSG, huku City ikiwasha taa ya kijani kwa Lewandoski)

Kiungo wa kati wa Marseille Dimitri Payet 34, anasema anashangazwa sana kuona beki, William Saliba (20) hapewi nafasi ya kucheza klabuni hapo kama ili [...]
Sabaya na wenzake kukata Rufaa

Sabaya na wenzake kukata Rufaa

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hak [...]
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 16, 2021

Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 16, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Oktoba 16, 2021 [...]
1 18 19 20 21 22 46 200 / 452 POSTS
error: Content is protected !!