Author: Thani Chikira

1 10 11 12 13 14 27 120 / 270 POSTS
Ray C: “Nahisi harufu ya kifo, bifu ya Harmonize na Diamond”

Ray C: “Nahisi harufu ya kifo, bifu ya Harmonize na Diamond”

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchi Tanzania Rehema Chalamila maarufu kwa jina la kisanii Ray C amefunguka na kusema kinachoendelea kati ya Harmonize na D [...]
Zijue Faida na hasara msanii kuwa chini ya ‘Record label’

Zijue Faida na hasara msanii kuwa chini ya ‘Record label’

Je, kipi ni bora, kuwa chini ya Record Label au kuwa msanii unayejitegemea kwa kila kitu? Leo utajifunza faida za hasara za kuwa msanii wa muziki chin [...]
Simon Msuva akutwa na Korona

Simon Msuva akutwa na Korona

Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco itamkosa nyota wake Simon Msuva wakati mtanange dhidi ya Shabab Al-Sawalem siku Ijumaa katika dimba la Ahmed Shouk [...]
Wasanii watano (5) waliowahi kuteswa na mikataba mibovu ya ‘Record Labels’

Wasanii watano (5) waliowahi kuteswa na mikataba mibovu ya ‘Record Labels’

Stori kubwa kwa sasa kwenye hapa nchini Tanzania ni msanii Harmonize a.k.a Konde Boy kutema nyongo yote juu ya aliyekuwa bosi wake Diamond Platnumz pa [...]
Aweso atinga DAWASA usiku, ataka hadi kieleweke

Aweso atinga DAWASA usiku, ataka hadi kieleweke

Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso atinga katika ofisi za DAWASA usiku wa kuamkia Novemba 18, 2021, Waziri alizuru katika ofisi hizo jijini Dar es Salaam i [...]
Kauli ya Rais Samia kuhusu mgao wa maji

Kauli ya Rais Samia kuhusu mgao wa maji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa tatizo la maji katika miji mikubwa kama Dar es Salaam litaenda ku [...]
Babalevo ashutumiwa kwa utapeli wa milioni 12

Babalevo ashutumiwa kwa utapeli wa milioni 12

Aliyekuwa msanii wa Baba Levo mwanadada Oti ameeleza jinsi alivyotapeliwa kiasi cha milioni 12, kupigwa pamoja na kuachwa kwenye mataa na msanii huyo [...]
Davido amuomba hela Diamond Platnumz

Davido amuomba hela Diamond Platnumz

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria, akiwa kwenye maandalizi ya siku yake ya kuzaliwa amekuja na staili mpya ya kuomba hela watu wake wa karibu kupiti [...]
Madhara unayoweza kupata kwa kuoga maji ya moto

Madhara unayoweza kupata kwa kuoga maji ya moto

Kuna raha ya kuoga maji ya moto , hasa ukiyapata usiku au mchana baada ya kazi ngumu na mihangaiko chini ya jua kali. Lakini je, ni kwa kiasi gani ngo [...]
Flaviana Matata atema nyongo

Flaviana Matata atema nyongo

Flaviana Matata, mwanamitindo maarufu wa Tanzania na duniani ambaye mwaka 2013 jarida la Forbes la Afrika liliandika kwamba ni miongoni mwa wanamitind [...]
1 10 11 12 13 14 27 120 / 270 POSTS
error: Content is protected !!