Author: Thani Chikira
Filamu 7 bora za vita kwenye mtandao wa Netflix
7. Beast of No Nation
6. First They Killed my father
5. The Siege of Javotville
4. The King
3. Da 5 Bloods
2. Outlaw King
[...]
Makosa yanayoweza kukunyima kazi kwenye uandishi wa barua ya kazi.
Afisa Mwajiri mbobevu ameleza namna ambavyo husoma barua za maombi ya kazi ya waombaji mbalimbali, na vitu gani anazingatia zaidi kwenye barua hizo. A [...]
Wajue nyoka 10 hatari zaidi duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Afya la Dunia, kuna nyoka zaidi ya 600 wenye sumu duniani, lakini kati hao ni 200 tu ndio ambao wanaweza kuwa hatari zaidi. B [...]
Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mchezo wa Boxing
1. Mchezo wa masumbwi (Boxing) ulianza Ugiriki mwaka 688 kabla ya kuzaliwa Kristo na ulikuwepo kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka huo.
2. Jina [...]
New Zealand: Mwanamke afariki muda mfupi baada ya kuchanjwa chanjo ya Pfizer
Nchi ya New Zealand imeripoti kifo cha kwanza ambacho kinahusishwa moja kwa moja na chanjo ya Pfizer.
Bodi huru ya kufuatilia usalama wa chanjo nch [...]
Wajue Wayahudi wa Arusha
Taifa la Israel lipo karibu na nchi za Afrika Mashariki na nchi za kiarabu kuliko hata nchi nyingi duniani.
Kwa sababu ya ukaribu huu, Wayahudi wan [...]
Antonio Nugaz afunguka baada ya kuondoka Yanga
Kupitia instagram, Nuga amewashukuru ‘Wananchi’ huku pia akitoa ahadi ya ‘kuonana nao tena’, japo haijafamika ataonana nao kwa namna gani.
Nugaz am [...]
Serikali yasema itaendelea kupunguza tozo
Waziri wa Fedha na Mipango amesema kuwa huko mbeleni wakati sekta ya elimu imeimarika, serikali itapitia tena tozo zinazokatwa ili kuboresha sekta hiy [...]
Movie kali wiki hii..
The Protege, filamu ya 2021, ndani wamo waigizaji nguli wa Hollyowood Michael Kaeton, Maggie Q na Samuel Jackson.
Filamu ni kuhusu mtoto aitwaye An [...]
Dalili 10 kuwa mwanao anatumia dawa za kulevya.
Utumiaji wa dawa za kulevya huja na dalili mbalimbali mwenye mwili wa mtu. Lakini si mara zote mtu akionesha moja ya dalili tajwa kwenye andiko hili a [...]