Author: Thani Chikira
Mapenzi ya kweli yapo, baada ya kupooza mwili mzima, afungia ndoa kitandani
Terkimbir Benjamini Tyough mwenye umri wa miaka 45 hatimaye amefunga ndoa a mpenzi wake wa muda mrefu ambaye amefanikiwa kuzaa na watoto watatu. Terki [...]
Ukitaka uzuri lazima udhurike
Sio jambo la kushangaza katika miji mikubwa kama Dar es Salaam kuona vijana wakiwa wamebeba vikapu vyenye nyenzo za kutengenezea kucha na kuzunguka na [...]
Polisi yatoa ufafanuzi nyumba ya Polepole kuvunjwa
Kamanda Mkuu wa Jeshi la polisi mkoani Dodoma, Onesmo Lyanga amethibitisha kuwa ni kweli Humphrey Polepole alivunjiwa dirisha la nyumba anayoishi na k [...]
Abakwa na wasichana wawili, hoi hospitali akipigania maisha yake.
Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe mwenye umri wa miaka 27 anapigania maisha yake kwa sasa hospitalini baada ya kubakwa na wanawake wawili. Polisi nchini [...]
Ziwa Victoria: Moyo wa Afrika
Ni ziwa ambalo limebahatika kuwa kwenye mstari wa ikweta na limezungukwa na nchi tatu za Afrika Mashariki: Tanzania, Kenya na Uganda pia ni moja ya ma [...]
Rais Samia afanya uteuzi wa mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa H [...]
Mrembo kutoka Kenya atoa hisia zake baada ya Diamond kuzindua WasafiBet
Siku ya tarehe 10 Disemba 2021 katika viunga vya Mlimani City msanii Diamond Platnumz alizundua kampuni yake mpya ya WasafiBet. Punde tu baada ya uzin [...]
Askari adawa kumuua mwenzake kisa mwanamke wakiwa lindoni
Askari Polisi Onesmo Joseph, amefariki baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake wakiwa lindo katika Benki ya CRDB, tawi la Ruangwa mkoani Lindi. Tuk [...]
Ini Edo awajia juu wanaohoji kuhusu mtoto wake
Mwigizaji wa Nollywood, Ini Edo amejibu watu wanaosema kwamba mtoto wake amempata kwa bahati kutoka kwa mfadhili aliyetoa mbegu zake na kuunganisha na [...]