Category: Burudani
Mtanzania amtwanga Mjerumani kwa TKO
Bondia Mtanzania anayeishi nchini Sweden Awadhi Tamim amemtwanga Bondia Shkelqim Ademaj wa Ujerumani kwa TKO katika pambano la raundi 10 lililofanyika [...]
Justin Bieber apooza uso
Msanii kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka video fupi Kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza wazi kwamba amesitisha show zake kutokana na u [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Juni 8,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatano Juni 8,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v [...]
Abebewa mimba
Mwigizaji nyota wa filamu za Nollywood nchini Nigeria, Ini Edo amefunguka kwa mara ya kwanza yeye ni mzazi wa mtoto mmoja na alipata mtoto huyo kupiti [...]
Meneja mpya wa Konde Gang
Mmoja wa viongozi wa lebo ya Konde Gang, Chopa kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtambulisha muigizaji Kajala Masanja kama meneja wa lebo hiyo inay [...]
Kim: Nipo tayari kula kinyesi nibaki kuwa kijana
Mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ameshangaza wengi baada ya kusema kwamba yupo tayari kula kinyesi kama kinaweza kumsaidia kuonekana kijana [...]
Aliyeua ajiua
Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) naye amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi.
Kaimu Kamanda wa Poli [...]
Todd Boehly ainunua Chelsea
Baada ya miaka 19 chini ya uongozi wa Roman Abramovich wa raia wa Urusi-Israeli, klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea sasa kuhamia mkononi mw [...]
Usilolijua kuhusu Diamond Platnumz
Kujizolea umaarufu kwa mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz kumekuwa katika kazi zinazoendelea miaka 12 sasa, kutokana na nyimbo nzuri zinazoa [...]
Mchezaji wa Serengeti Girls gumzo mtandaoni
Mchezaji wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 - Serengeti Girls, aliyeifungia Tanzania magoli matatu kati ya manne kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia [...]