Category: Elimu
Karanga mbichi, mihogo, nazi haviongezi nguvu za kiume
Dar es Salaam na mikoa mingine kuna imani kuwa karanga mbichi, mihogo mibichi, nazi na supu ya pweza ni miongoni mwa vitafunwa vinavyoongeza nguvu za [...]
Fahamu ulaji unaoweza kukusababishia upara
Sio jambo la ajabu kwa mwanadamu kupoteza nywele, kwa kawaida nywele 50 hadi 100 huweza kung'oka kichwani mwa mtu kwa siku bila mtu kujua.
Taasisi [...]
Jinsi ya kurudisha ‘meseji za WhatsApp’ ulizofuta
'WhatsApp' ni mtandao unaotumiwa na wengi zaidi katika mawasiliano ya kila siku.
Kwa bahati mbaya, unaweza kujikuta umefuta 'meseji' (ujumbe0 ambay [...]
Travis Scott afunguliwa kesi ya mauwaji
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Travis Scott amefunguliwa kesi ya kuchochea ghasia kwenye tamasha lake ambalo limesababisha vifo vya watu nane na m [...]
Jifunze njia 5 za kuishi na mtu mwenye hasira za karibu
Pengine unaogopa kuishi au hata kuzungumza na mtu ambaye unajua ni mwenye hasira za karibu au ni rahisi kukasirika. Kwa usalama wake na wako, mara nyi [...]
Mambo matano yanayoweza kukupata ukiwa na kitambi
Kitambi hutokana hutokana na mlundikano wa mafuta mwilini kutokana na ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi. Kwa wanaume mafuta hutunza kwenye eneo la [...]
Hizi ni njia saba zitakazokusaidia kutunza fedha zako vizuri
Watu wengi wamekuwa na matumizi mabaya ya fedha zao kiasi cha kushindwa kufikia malengo yao kwa wakati unaopaswa.
Zifuatazo ni njia zinazoweza kutumi [...]
Mjue mtu sahihi wa kuanzisha naye mahusiano
Kuna vitu ambavyo havionekani kwa macho. Inahitaji hisia za moyo na kuzama kwenye ulimwengu wa kufikirika ili kujihisi mnufaika. Mfano hisia ya kupend [...]
Mambo 8 usiyoyajua kuhusu Rais Yoweri Museveni
Jina lake “Museveni” limetokana na Batalioni ya saba ya jeshi la Uingereza (King’s African Rifles) ambapo ndio kikosi cha Baba yake wakati wa Vita [...]
Fahamu zawadi 5 zitakazofanya mtu akukumbuke
Zawadi ni kitu anachopewa mtu bila matarajio ya malipo kama sehemu ya kumpongeza, kumuunga mkono au kuthamini uhusiano wenu au kitu alichofanya, watu [...]