Category: Elimu
Fahamu mbinu inayotumika kumtambua rafiki wa kweli kwenye mafanikio
Kila mtu anatamani afikie ngazi fulani ya maisha. Iwe katika elimu, biashara au hata kazi, kunakuwa na matamanio fulani ya mtu kukua ili kufikia ndoto [...]
Fahamu njia rahizi za kuandaa na kupika Soseji za Mayai
Huu ni mlo wa chap chap hasa pale asubuhi unapotaka kupata kifungua kinywa kabla ya kwenda kwenye mihangaiko yako ya kila siku.
Mahitaji:
Sos [...]
Mbinu 5 za kuzuia simu yako isidukuliwe
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi kwa watumiaji wa Kompyuta mpakato na simu kutoka nchi mbalimbali kuhusu wadukuzi kudukua taarifa zao. Ripot [...]
Leo katika Historia: Majeshi ya Uingereza na Ujerumani yanapigana huko Misri
Siku kama ya leo mwaka 1942, vita vya kihistoria vilivyopewa jina la El-Alamein vilitokea katika mji wenye jina kama hilo huko Kaskazini mwa Misri kat [...]
Kama umetumia mswaki mmoja kwa muda huu, uko hatarini!
Inawezekana watu wengi wakawa wanapiga mswaki kama utamaduni tu, lakini wasiwe wanaelewa zaidi faida, hasara au hata tahadhari za kuchukua kwenye kute [...]
Fahamu vyakula aina 7 hatarishi kwa malezi ya mtoto wa umri chini ya mwaka 1
Katika malezi na ukuaji mtoto aliye chini ya mwaka mmoja huwa na masharti mno katika aina ya vyakula. Ni vizuri ukajua ni vyakula gani ambavyo mtoto h [...]
Fahamu jinsi ya kukokotoa GPA ya chuo
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na mijadala mitandaoni kuhusu masuala ya ufaulu wa wanafunzi vyuoni, mijadala ambayo imeibuliwa na matokeo ya Chuo Kikuu [...]
Mambo 5 muhimu ya kufanya utokapo kwenye kazi hatarishi
Mazingira hatarishi au ambayo si salama kwa mfanyakazi yanapunguza morali ya ufanyaji kazi lakini pia yanamfanya mhusika akose kujiamini. Mazingira ya [...]
Faida 3 Mwanaume unapaswa kujua kuhusu mzunguko wa hedhi
Kuna mambo madogomdogo ambayo Wanaume wengi huwa hawayatilii maanani wakiamini sio wajibu wao kuyafahamu na kwamba ni mambo ya Wanawake pekee. Miongon [...]
Vyakula Kumi (10) vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa
Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kunaweza kutokea kutokana sababu kadhaa ikiwemo uzalishwaji mdogo wa homoni ya testesterone, matumizi ya dawa, ku [...]