Category: Kimataifa
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo
Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua.
Akizungumza na waandishi wa [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Sababu ya Rais wa Sri Lanka kujiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ranil Wickremesinghe wamekubali kujiuzulu baada ya waandamanaji kuvamia makazi yao [...]
Rais ajiuzulu
Spika wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza jana kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa wake July 1 [...]
Rais Samia atoa pole kwa Wajapani
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Japan kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Shinzo Abe.
A [...]
Kanisa latoa vyeti vya ubikra
Kanisa moja nchini Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.
Inaripotiwa k [...]
Serikali yataja mikakati ya kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili
Katika siku ya kuadhimisha lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi m [...]
Hizi hapa Bei mpya za mafuta
Hizi hapa bei mpya za mafuta kwa Tanzania .
[...]