Category: Kimataifa
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa
Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Rick Ross kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro
Rapa wa Marekani William Leonard Roberts II (Rick Ross) leo Machi 31, 2022 katika mahojiano yake na Full Send Podcast ameweka bayana nia yake ya kupan [...]
Taliban: Hakuna kazi bila ndevu
Wapiganaji wa Taliban wamewaagiza wafanyakazi wote wa serikali wa kiume kuwa na ndevu na kuzingatia kanuni ya mavazi ama wafutwe kazi
Shirika la ha [...]
EAC yaongeza mwanachama mpya
Kikao cha Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameiingiza Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kuwa mwanachama wa jumuiya hi [...]
Hekta 134 kutengwa kilimo cha bangi
Nchini Rwanda hekta 134 zimetengwa kwa ajili ya uzalishaji wa zao la bangi baada ya serikali kuanza kutangaza mipango ya kuanza kuzalisha na kusafiris [...]
Netflix kuwekeza bilioni 146.2 Afrika Kusini
Netflix kuwekeza bilioni 146.2 Afrika KusiniMtandao wa sinema Netflix wamejipanga kuwekeza $63 m sawa na takribani randi milioni 900 nchini Afrika Kus [...]
Umy Mwalimu: Hakuna kirusi kipya
Kufuatia kusambaa kwa kasi kwa kirusi kipya cha UVIKO-19 ( Omicron BA.2) duniani, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kirusi hicho hakijafi [...]
Wanaohifadhi wahamiaji haramu waonywa, ‘Sakasaka’ yaanza
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala amewaonya Watanzania wanaowatumia wahamiaji haramu kama chanzo cha kipato kuacha mara moja [...]
Kanye West afutwa Grammy 2022
Rapa kutoka nchi Marekani Ye au Kanye West amefutwa kwenye orodha ya wasanii wanaotarajia kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy 2022 kutokana na matendo ya [...]
Zimwi la Mto Yala lazidi kuua, laondoka na kigogo
Mwili wa Mkaguzi Mkuu wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) wakutwa kati ya vifurushi vilivyookolewa Mto Yala.
Wananchi wa Kenya wazidi kuililia [...]