Category: Kimataifa
Mtoto wa miaka 5 ajifungua mtoto wa kiume
Lina Medina kutoka nchi ya Amerika Kusini ya Peru alivunja rekodi ya kuwa mama mchanga zaidi duniani kujifungua mtoto akiwa na umri wa miaka 5, miezi [...]
Waziri Mkuu anusurika kuuawa
Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, amenusurika kuuawa katika jaribio la mauaji katika mashambulizi yaliyofanywa kwa kutumia ndege inayorushwa bi [...]

Mtoto azaliwa na mkia wa ajabu Brazil
Jarida la The Sun la nchini Uingereza limeripoti kuwa katika Hospitali ya watoto ya Albert Sabin katika mji wa Fortaleza nchini Brazil amezaliwa mtoto [...]
‘Mgombea Urais’ Kenya aogopa kuibiwa na Wagombea wenzake
Gavana wa Machakos ambaye pia ameweka azma ya kugombea urasi nchini Kenya Dr. Alfred Mutua amesema kwamba hataki kuzungumzia kuhusu mipango na ilani y [...]
Historia ya mwanamke wa kwanza kuwa Rais Afrika
Kuna wanawake waliowahi kuwa Marais Afrika kabla ya mwaka 2006. Hao ni pamoja na Slyvie Kiningi aliyerithi kiti cha Urais nchini Burundi (Februari-Okt [...]
Squid Game kufungiwa Kenya
Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji nchini Kenya (KFCB), Christopher Wambula amewashauri wazazi kuwa waangalifu na kufuatilia video ambazo watot [...]
Rwanda kugawa simu bure kwa Wananchi
Serikali ya Nchi ya Rwanda inatarajia kusambaza simu za kisasa takribani 14,000 kwa wananchi wake kwenye kampeni inayojulikana kama “Connect Rwanda Ch [...]
Tanzania, Uingereza kuboresha uhusiano wa kibiashara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira na msimamo wa Tanzania katika kuboresha uhusiano wa kibiashara na Uingere [...]
Elon Musk kuuza hisa za Tesla kutatua tatizo la njaa duniani
Elon Musk, tajiri namba moja duniani amewapa mtihani Shirika la Chakula Duniani (WFP) kuthibitisha kwamba $6 Bilioni za kimarekani zinaweza kutatua ta [...]
Apata ajali, mkono washonewa tumboni
Maisha ni kama fumbo tunaamka wazima hatujui tutakutana na nini na wakati gani. Ni sawa na Martin Shawn wa nchini Uingereza ambaye alipata ajali mba [...]