Category: Kimataifa

1 44 45 46 47 48 52 460 / 512 POSTS
Uingereza yaondoa vikwazo kwa wasafiri kutoka Tanzania

Uingereza yaondoa vikwazo kwa wasafiri kutoka Tanzania

Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake Tanzania imetangaza kupunguzwa kwa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa kwa wasafiri wote kutoka nchini Tanzania.T [...]
Ijue Tuzo ya Nobel na namna ya kushiriki

Ijue Tuzo ya Nobel na namna ya kushiriki

Tuzo ya Nobel ni tuzo ya heshima na ya hadhi ya juu inayotunukiwa kwa watu ambao wametoa mchango mkubwa sana katika katika kufanya uvumbuzi au kuanzis [...]
Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini

Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini

Askofu Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Oktoba, 7 1931 katika mji wa Klerksdorp Afrika Kusini. Wazazi wake walitoka makabila ya Xhosa na Tswana na akiwa m [...]
Kikongwe wa miaka 100 mahakamani kwa makosa wakati wa vita ya pili ya Dunia

Kikongwe wa miaka 100 mahakamani kwa makosa wakati wa vita ya pili ya Dunia

Kikongwe mwenye umri wa miaka 100 ambaye alilitumikia Jeshi la Ujerumani (SS guard) wakati wa vita ya pili ya Dunia, kesi yake itaanza kusikilizwa leo [...]
Ukiwapata watu hawa 6, unakuwa bilionea

Ukiwapata watu hawa 6, unakuwa bilionea

Muda huu kuna watu wanatafutwa, ukiwakamata au kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwao, unaweza kuwa bilionea kutokana ahadi zilizotolewa na Serik [...]
Historia: Mtanzania ashinda Tuzo ya Nobel

Historia: Mtanzania ashinda Tuzo ya Nobel

Tuzo za Nobel katika Fasihi (Nobel Prize in Literature) imetolewa leo na kushuhudia Mtanzania Abdulrazak Gurnah, akishinda tuzo hiyo. Abdulrazak Gu [...]
Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa

Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vilemea aina nne: P falciparum, P Malarie, P. Ovale na P. vivax. Vimelea hivyo hubebwa na kusambazwa na mbu jike [...]
Mgogoro wa China – Taiwan wafikia pabaya

Mgogoro wa China – Taiwan wafikia pabaya

Waziri wa Ulinzi wa Taiwan Chiu Kuo-Cheng amesema kuwa hivi sasa mgogoro wa China na Taiwan umefikia hatua mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika kip [...]
Youtube yafunga akaunti zote za R. Kelly

Youtube yafunga akaunti zote za R. Kelly

Akanti za Youtube za msanii gwiji wa muziki wa miondoko ya RnB, R. Kelly zimefungwa mapema wiki hii, ikiwa ni tukio la kwanza kubwa kumfika tangu alip [...]
Zijue sababu 5 za kupanda kwa bei za mafuta duniani

Zijue sababu 5 za kupanda kwa bei za mafuta duniani

Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imethiri pia bei za mafuta ha Tanzania. Tumekuwekea sababu 5 zinazoweza kupelekea kupanda kwa bei hizo dun [...]
1 44 45 46 47 48 52 460 / 512 POSTS
error: Content is protected !!